Habari RFI-Ki

Wagombea 8 wa uraisi Uganda kukutana katika mdahalo?

Sauti 10:05

Mdahalo ulioandaliwa kwa lengo la kuwakutanisha wagombea 8 wa uraisi nchini Uganda huenda usifanyike kufuati araisi Museven kusema hataweza kudhuhuria hatua ambayo mpinzani wake wa karibu kizza Besigye amesema kukosekana kwa Museven kunaondoa umuhimu wa mdahalo huo....raia wana maoni gani ?