Habari RFI-Ki

Serikali ya Kenya yatoa pendekezo la kudhibiti makanisa kutumiwa kama biashara

Sauti 10:09

Serikali ya Kenya imetoa pendekezo la kuanzisha utaratibu ambao utadhibiti makanisa na wahubiri kuepuka kutumiwa kama biashara.Hatua hiyo imepingwa na baadhi ya makanisa ya kiinjilisti na baraza la waislamu nchini humo kwa kile inachodai ni kuingilia uhuru wa kuabudu.Raisi Kenyata amemuagiza mwanasheria mkuu wa serikali kujadiliana na wadau kabla y akupelekwa kwa muswada huo bungeni.