Habari RFI-Ki

Mashirika ya kiraia katika Jumuiya ya Afrika mashariki yataka Burundi kuondolewa katik ajumuiya hiyo

Sauti 10:30

Mashirika ya kiraia katika jumuiya ya Afrika mashariki wametaka Burundi kuondolewa katik ajumuiya hiyo na kushinikizwa kusaka suluhu ya mzozo unaolikumba taifa hilo.Aidha imewashutumu raia wa jumuiya hiyo kwa kusali kimya licha ya mauaji kuendele akuripotiwa nchini Burundi.