Habari RFI-Ki

Wasichana wana haki ya kuchoma sindano kuzuia mimba?

Sauti 10:32

Mkutano wa kimataifa unaendelea Jakarta nchini Indonesia ukihudhuriwa na wawakilishi wa mataifa ya Afrika pia kujadili haki ya uzazi wa mpango ambayo itaruhusu wasichana kuchomwa sindano za kuzuia mimba za mapema.Je wana Afrika mashariki wana maoni gani kuhusu uamuzi huo?