Changu Chako, Chako Changu

CHANGU CHAKO CHAKO CHANGU 21TH FEBRUARY 2016

Sauti 20:16
Boutros Boutros-Ghali.
Boutros Boutros-Ghali. REUTERS/Paolo Cocco/Files

Tunatupia jicho historia ya Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Boutros Boutros-Ghali, utamaduni wa michezo na mengineyo mengi. Sikiliza uhabarike, uelimike na uburudike.