Shambulio la kigaidi mjini Brussels Ubelgiji, usalama mdogo mashariki mwa DRC, ni baadhi ya matukio ya wiki hii

Sauti 21:05
Sayari ya dunia
Sayari ya dunia

Miongoni mwa habari tulizozipa uzito kwa juma hili hapa  RFI Kiswahili ni pamoja na shambulio la kigaidi lililotekelezwa kwenye uwanja wa kimataifa mjini Brussels nchini Ubelgiji na kugharimu maisha ya watu zaidi ya 30, na mamia ya majeruhi, matokeo ya uchaguzi wa marudio visiwani Zanzibar, Kesi ya aliyekuwa makamu wa rais wa DRC Jean Pierre bemba Gombo , na mauaji ya padre Vincent Machozi karibu na mji wa Butembo mashariki mwa Nchi hiyo ni baadhi tu ya mengi utakayoyasikia katika makala hii,Karibu,.....