Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mahakama ya juu nchini Uganda yasema ushindi wa rais Yoweri Kaghuta Museveni ulikuwa halali,rais mpya ya Central Afrika aapishwa

Sauti 21:17

Katika makala hii kwa juma hili tunajadili hatua ya mahakama ya juu nchini Uganda kusema ushindi wa rais Yoweri Kaghuta Museveni ulikuwa halali, wakati huko rais wa Kenya, Uhuru Mwigai Kenyatta, kaahidi kuwa serikali yake itapambana kwa nguvu zote kumaliza vitendo vya rushwa. Na huko DRC aliyekuwa gavana wa zamani wa mkowa wa Katanga Moise Katumbi kuteuliwa na vyama vya upiznani G7 kama mgombea wa kiti cha urais,lakini pia kimataifa tumegusia mkutano wa viongozi wa dunia kukutana mjini Washington Marekani kujifunza namna ya kukakbiliana na kundi la Islamic State.Karibu Kuungana nami Reuben Lukumbuka kusikiliza makala haya.