Mjadala wa Wiki

Mazungumzo ya kisiasa DRCongo kuamua hatma ya kisiasa ya taifa hilo

Sauti 14:37

Mjadala wa wiki unaangazia mchakato wa mazungumzo ya kisiasa nchini DRC kuamua kuhusu uchaguzi wa mwezi Novemba.