Rais john Magufuli amezindua daraja kubwa afrika mashariki, wageni kuvamiwa nchini Zambia

Sauti 20:58
Sayari ya dunia
Sayari ya dunia

Rais wa Tanzania John Magufuli juma hili amezindua daraja mpya la Kigamboni jijini Dar es salaam lenya urefu wa Kilimota 680 inayounganisha eneo la Kurasini na Kigamboni.na nchini Zambia raia wamekuwa wakiwavamia raia wa kigeni hasa wale kutoka Rwanda kwa madai kuwa wamekuwa wakihusika na mauaji ya wazawa na kutumia sehemu za miili yao kwa sababu za kishirikina.Ripoti zinasema raia saba wa Zambia wameuawa jijini Lusaka wiki hii na masikio, sehemu za siri na nyonyo za watu hao zikinyofolewa.