Suala la utoaji mimba inaibua maswali mengi sana barani Afrika. Wanasheria na madaktari wanateta juu ya sheria ya utoaji mimba nchini Tanzania na kujua kwamba utoaji mimba nchini Tanzania ni kosa la jinai, isipokuwa panapokuwa sababu za kitabibu. Pia, unaweza kubofya hapa kujua zaidi kuhusu kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania, LHRC.