Habari RFI-Ki

Siku ya uhuru wa vyombo vya habari,tathimini yake juu ya mafanikio na changamoto Afrika mashariki na kati

Imechapishwa:

Wasikilizaji wanaangazia siku ya uhuru wa vyombo vya habari kimataifa ambapo kwa upande wa Afrika mashariki wanatathimini haki ya kupata taarifa.