Juma hili Jengo laporomoka na kuua 49 Nairobi,Burundi yaomboleza kifo cha Jean Baptiste Bagaze
Imechapishwa:
Sauti 21:25
Makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri inaangazia ukanda wa Afrika mashariki yaliyochomoza zaidi,kuporomoka kwa jengo la ghorofa sita jijini Nairobi,siasa za Uganda kulekea kuapishwa kwa raisi Yoweri Museven.