Habari RFI-Ki

Msichana wa Chibok apatikana Nigeria

Sauti 09:31
Amina Ali Darsha Nkeki amepatikana akiwa na mtoto mchanga
Amina Ali Darsha Nkeki amepatikana akiwa na mtoto mchanga REUTERS/Afolabi Sotunde

Msichana mmoja wa Chibok Nigeria aliyetekwa na kundi la Boko haram sambamba na wengine mia mbili amepatikana katika msitu wa Sambisa akiwa na mtoto mchanga ambaye amezaa na mpiganaji wa kundi hilo,hatua hii imeamsha matumaini ya kupatikana wasichana wengine wanaoshikiliwa.