Habari RFI-Ki

Rwanda yawatimua raia wa Burundi

Sauti 09:18
Raisi Paul Kagame wa Rwanda akiwa pamoja na raisi wa Burundi Pierre Nkurunziza
Raisi Paul Kagame wa Rwanda akiwa pamoja na raisi wa Burundi Pierre Nkurunziza AFP PHOTO/JOSE CENDON

Serikali ya Rwanda imewatimua warundi waliokuwa wakiishi kinyume cha sheria nchini humo,hatua inayozua mjadala miongoni mwa wakazi wa Afrika mashariki na kati,kufahamu mengi ambatana na makala ya habari rafiki.