Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Msako wa Mabaki ya ndege ya Misri waendelea

Sauti 21:11
Mabaki ya ndege MS804 ya shirika la EgyptAir aliyoanguka bahari Mediteranean mei 19.
Mabaki ya ndege MS804 ya shirika la EgyptAir aliyoanguka bahari Mediteranean mei 19. Egyptian Military/ Reuters

Ni wiki ambayo ilishuhudia kupatikana kwa mabaki ya ndege ya shirika la ndege la Misri iliyoanguka katika Bahari ya Meditterenian, mwanasiasa wa upinzani nchini DRC Moise Katumbi Chapwe ashtumiwa na serikali kuhatarisha usalama wa ndani.Tutakuwa na haya na mengine mengi.