Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Maandamano ya upinzani Kinshasa, Obama atembelea Hiroshima
Imechapishwa:
Cheza - 21:00
Katika makala hii tunaangazia kuuawa kwa mtu nchini DRC wakati wa maandamano ya upinzani kupinga uamuzi wa Mahakama ya katiba kumruhusu Joseph Kabila kuongoza nchi hiyo endapo uchaguzi hautafanyika mwaka huu, pamoja na hili utasikia mambo mengine mengi yaliyojiri wiki hii ikiwa ni pamoja na ziara ya kihistoria ya rais Barack Obama wa Marekani mjini Hiroshima Japani.