Makala Habari rafiki leo jumatatu mei 30 inajadili hatua ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku utumiaji wa mifuko ya plastiki huku wanaharakati wa mazingira wakisema kuwa ni hatua nzuri licha kuwepo changamoto katika utekelezaji wake.Hatua hiyo ya serikali ya kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki itaanza kutekelezwa mwaka ujao kama njia ya kulinda mazingira na kuepusha ucafuzi wa mazingira.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.