Habari RFI-Ki

Hukumu dhidi ya rais wa zamani wa chad Hissein Habre.

Sauti 09:50
Rais wa zamani wa Chad,Hissen Habre mwanzoni mwa kusikilizwa Kesi.
Rais wa zamani wa Chad,Hissen Habre mwanzoni mwa kusikilizwa Kesi. AFP PHOTO / SEYLLOU

Aliyekuwa rais wa zamani wa Chad Hissein Habre amehukumiwa kifungo cha maisha jela na mahakama maalum ya Afrika iliyoko mjini Dakar nchini Senegal, baada ya kupatikana na makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, Ubakaji na makosa ya uhalifu wa kivita.Katika habari rafiki, tunaungana na wasikilizaji kupata maoni yao, kwamba kesi hii inatoa funzo gani kwa viongozi wengine walio madarakani?Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka, kusikiliza zaidi.