Habari RFI-Ki

Kenya kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa bendera.

Sauti 09:54
Rais Uhuru Kenyatta akiwa na makamu wake William Ruto, aprili 2015 jijini Nairobi.
Rais Uhuru Kenyatta akiwa na makamu wake William Ruto, aprili 2015 jijini Nairobi. REUTERS/Thomas Mukoya

Kenya inaadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Bendera. Inafahamika kama Madaraka Day. Siku ambayo Kenya ilianza kujitawala baada ya Wakoloni wa Uingereza kukubali kuwa nchi hiyo itakuwa huru tarehe 12 mwezi Desemba mwaka 1963.Wakenya wanaadhimi sha vipi siku hii ?Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza makala.