Habari RFI-Ki

Wanaharakati wa DRC waadhimisha miaka6 tangu kuuawa kwa Chebeya.

Sauti 10:03
Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini DRC, Floribert Chebeya
Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini DRC, Floribert Chebeya Reuters

Tarehe hii ya juni 02 ni miaka sita toka kuuawa kwa mwanaharakati wa haki za binada mu nchini DRCongo, na mkuu wa Shirika la La voix des sans voix Floribert Chebeya aliyeuawa pamoja na dereva wake Fidele Bazana, juni 02 2010.Kesi ya mwanahara kati huyo imesikilizwa na mahakama nchini Congo, lakini familia yake na watu wa karibu wanaona kwamba ulikuwa ni mfano wa mahakama, kwa sasa wameanza mchakato wa kufungua mashtaka kwenye mahakama maalum huko nchini Senegal.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.