Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wakongomani wakumbuka kifo cha Chebeya

Sauti 21:07
Mawakili wa upande wa utetezi wakisikiliza kesi ya mauaji ya Chebeya, Agosti 29 2014 mjini Kinshasa.
Mawakili wa upande wa utetezi wakisikiliza kesi ya mauaji ya Chebeya, Agosti 29 2014 mjini Kinshasa. AFP PHOTO / Junior D. Kannah

Katika makala ya wiki hii,  tunaangazia baadhi ya matukio makubwa yaliyotokea barani Afrika na kwingineko duniani ikiwemo wanaharakati wa haki za binadamu kuadhimisha  miaka sita tangu kuuliwa kwa mwanaharakati Floribert Chebeya  nchini DRC lakini pia maandamano ya upinzani nchini Kenya miongoni mwa matukio mengine.