Habari RFI-Ki

Waislamu duniani waanza mwezi wa toba,Ramadhani

Sauti 09:54
Bei za vyakula hupanda katika baadhi ya mataifa katika kipindi cha mfungo,hapa ni nchini Somalia
Bei za vyakula hupanda katika baadhi ya mataifa katika kipindi cha mfungo,hapa ni nchini Somalia REUTERS/Feisal Omar

Wasikilizaji wanaangazia kuanza kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan ambapo waislamu duniani kote wanafanya ibada ya toba...kumekuwa na kasumba ya kupanda kwa bei za vyakula katika baadhi ya mataifa ikiwemo Tanzania.