Habari RFI-Ki

Makubaliano ya mazungumzo ya upinzani wa DRC nchini Ubelgiji

Sauti 10:24
Kiongozi wa upinzani wa DRC Etienne Tshisekedi na wafuasi wake wakiwa wamezuiwa na polisi katika uwanja wa ndege wa N'Djili jijini Kinshasa
Kiongozi wa upinzani wa DRC Etienne Tshisekedi na wafuasi wake wakiwa wamezuiwa na polisi katika uwanja wa ndege wa N'Djili jijini Kinshasa Reuters/Finbarr O'Reilly

Katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu makubaliano yaliyofikiwa na upinzani wa DRC katika mkutano wao huko Brussels Ubelgiji kuhusu mazungumzo ya kitaifa na hatma ya uchaguzi.