Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Upinzani DRC kuridhia mazungumzo chini ya upatanishi wa kimataifa

Sauti 21:08
Rais wa chama cha upinzani cha UDPS Etienne Tshisekedi akihutubia wapinzani mjini Brussels Ubelgiji juni 08 2016.
Rais wa chama cha upinzani cha UDPS Etienne Tshisekedi akihutubia wapinzani mjini Brussels Ubelgiji juni 08 2016. THIERRY ROGE / Belga / AFP

Makala ya yaliyojiri wiki hii tumeangazia hatua ya upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokra sia ya Kongo, kuwa tayari kwa mazungumzo na rais Joseph Kabila kwa sharti kuwa mazungumzo hayo yafanyike chini ya usimamizi wa jumuiya ya kimataifa,hatua ambayo iliyochukuliwa baada ya kuhitimishwa mkutano wao wa mjiini Brusselsm Ubelgiji lakini pia mgogoro uliopo baina ya serikali ya kenya na upinazim CORD kuhusu tume ya Uchaguzi, wakati kimataifa tumegusia uchaguzi wa Marekani.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza makala.