Changu Chako, Chako Changu

Maisha ya Mohammad Ali

Sauti 20:50
Mohammad Ali, bingwa wa zamani wa ndondi uzito wa juu na mwanaharakati kutoka Marekani.
Mohammad Ali, bingwa wa zamani wa ndondi uzito wa juu na mwanaharakati kutoka Marekani. AFP

Juma hili tunaangazia maisha ya mwanandondi maarufu wa uzito wa juu kutoka Marekani, Mohammad Ali, aliyekuwa pia mwanaharakati aliyetetea haki na usawa kati ya watu weusi na weupe nchini Marekani. Mwanamichezo huyo maarufu wa karne ya 20 alitikisa sio tu ulimwengu wa michezo, bali pia, ulimwengu wa kisiasa na kijamii. Sikiliza taarifa nono ya mwanandondi huyo kutoka Marekani.