Mjadala wa Wiki

ICGLR kuimarisha ushirikiano wa kijeshi katika ukanda wa maziwa makuu

Sauti 12:46
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, akiwa kwenye mazungumzo na rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, mjini Luanda, 14 June 2016
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, akiwa kwenye mazungumzo na rais wa Angola, Jose Eduardo dos Santos, mjini Luanda, 14 June 2016 Kenya Govt

Maraisi wa nchi za Maziwa Makuu ambao wamekuwa wakikutana jijini Luanda nchini Angola wamekubaliana kuimarisha na kuharakisha ushirikiano wa kijeshi kwa lengo la kuhakikisha kuwa eneo hilo linakuwa salama na makundi yanayokosesha usalama yanakabiliwa.Kuangazia haya ni wachambuzi Halid Hassan akiwa Kigali Rwanda na Dokta Francis Onditi akiwa Nairobi Kenya.