Habari RFI-Ki

Siku ya mtoto wa Afrika 2016

Sauti 10:19
Zaidi ya watoto 600, wakiandamana katika mitaa ya mjini Goma katika sherehe ya mtoto wa Afrika, iliyoandaliwa na MONUSCO.
Zaidi ya watoto 600, wakiandamana katika mitaa ya mjini Goma katika sherehe ya mtoto wa Afrika, iliyoandaliwa na MONUSCO. Photo MONUSCO/Section de la Protection de l’enfance

Leo ni siku ya mtoto wa Afrika na makala haya yanaangazia siku hii wakati huu bara la Afrika likikabiliwa na migogoro na machafuko. Karibu usikie maoni ya baadhi ya wasikilizaji wetu wa barani Afrika