Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wanasiasa nane nchini Kenya waachiliwa huru kwa dhamana

Sauti 20:58
Wabunge nchini Kenya wakiwapongezwa na wenzao mahakamani, Jijini Nairobi.
Wabunge nchini Kenya wakiwapongezwa na wenzao mahakamani, Jijini Nairobi. RFI Kiswahili

Katika makala hii tumeangazia kuachiliwa huru kwa dhamana kwa wabunge wanane nchini Kenya, hatua ya mamlaka ya mawasiliano kuanza kuzima simu feki wiki hii, lakini pia nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo tumezungumzia kuhusu mauaji ya wapiganaji zaidi ya ishirini katika kambi ya kijeshi ya Kamina katikati ya nchi hiyo, wakati kimataifa tumeangazia pendekezo la rais wa Marekani Barack Obama kuliomba bunge la congress kuangalia upya sheria kuhusu umiliki wa silaha.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.