Changu Chako, Chako Changu
Mji wa Bukavu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Imechapishwa:
Cheza - 21:03
Juma hili tunasafiri hadi mjini Bukavu, mkoani Kivu, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na tukitupia jicho mji huo kijeogrfia na kiutamaduni pia tutapata wasaa wa lugha ya Kiswahili kutoka Kenya.