Mjadala wa Wiki

Jean Pierre Bemba ahukumiwa miaka 18 jela

Sauti 14:35
Mkamu wa zamani wa rais wa DRC Jean-Pierre Bemba akiwa mahakamani 21 Juni 2016.
Mkamu wa zamani wa rais wa DRC Jean-Pierre Bemba akiwa mahakamani 21 Juni 2016. REUTERS/Michael Kooren

Katika mjadala huu wachambuzi wa siasa Haji Kaburu wa Tanzania na mwanaharakati  wa haki Omari Kavota wa DRC wanaangazia hukumu iliyotolewa na ICC kwa makamu wa rais wa zamani wa DRC, Jean Pierre Bemba, karibu ufahamu mengi.