Habari RFI-Ki

Jean Pierre Bemba kutumikia kifungo cha miaka 18 jela

Sauti 09:43
Jean-Pierre Bemba, Makamu wa raisi wa zamani nchini DRC
Jean-Pierre Bemba, Makamu wa raisi wa zamani nchini DRC REUTERS/Michael Kooren

Makamu wa raisi wa zamani nchini DRC Jean Pierre Bemba amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela baada ya mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita ICC kumpata na hatia.Hukumu hiyo imewagawa raia wa DRC kufuatia kila mmoja kuwa na mtazamo wake ambapo mjini Kinshasa wengi hawakuridhishwa na hukumu dhidi ya Bemba,je wasikilizaji wana maoni gani?