Habari RFI-Ki

Uingereza kujitoa EU Afrika itaathirikaje?

Sauti 10:03
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ambaye ametangaza kujiuzulu ndani ya miezi mitatu kufuatia Uingereza kujitoa katika Umoja wa ulaya
Waziri mkuu wa Uingereza David Cameron ambaye ametangaza kujiuzulu ndani ya miezi mitatu kufuatia Uingereza kujitoa katika Umoja wa ulaya REUTERS/Phil Noble

Wananchi wa Uingereza wamepiga kura kwa asilimia 52 kujitoa kwenye umoja wa Ulaya, huku asilimia 48 wakitaka kusalia kwenye umoja huo, uamuzi ambao sasa ni wazi umemfanya waziri mkuu David Cameron kibarua chake kutamatika hata kabla ya muda.Je hatua hii itaathiri vipi mataifa barani Afrika?