DRC yaadhimisha miaka 56 ya uhuru
Imechapishwa:
Sauti 09:56
Leo ni siku ya Uhuru wa DRC ambapo nchi hiyo inaadhimisha miaka 56 ya uhuru kutoka kwa Ubelgiji, raia wa nchi hiyo waishio maeneo mbalimbali duniani wanatoa maoni yao kuhusu siku hii na kauli ya rais kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu.Sikiliza ufahamu mengi