Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Raia wa DRC Kuomboleza kifo cha Malu Malu

Imechapishwa:

Ziara ya siku mbili ya rais Paul Kagame wa Rwanda nchini Tanzania, maadhimisho ya  kumbukumbu ya miaka 56 ya uhuru wa DRC pamoja na kanisa katoliki nchini humo kutangaza kifo cha aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi CENI Padre Apolinaire Malumalu alhamisi juni 30 na pia mashambulizi ya kigaidi Mjini Istanbul nchini Uturuki ni miongoni mwa mengi utakayoyasikia katika makala: Mtazamo wako kwa yaliyojiri Wiki hii.

Padre Apollinaire Malu Malu Muholongu, aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi DRC CENI.
Padre Apollinaire Malu Malu Muholongu, aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi DRC CENI. RFI
Vipindi vingine