Changu Chako, Chako Changu

Uhuru wa Kongo na Burundi

Sauti 20:56
Waziri Mkuu wa Kwanza wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na moja wa waasisi wa taifa hilo, Patrice Emery Lumumba.
Waziri Mkuu wa Kwanza wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na moja wa waasisi wa taifa hilo, Patrice Emery Lumumba.

Juma hili tunaangazia siku za uhuru wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Burundi. Tarehe 30, Mwezi wa Sita, mwaka 1960 na tarehe 01, Mwezi wa Saba, mwaka 1962. Uatamduni na muziki kama kawaida.