Jua Haki Zako

Haki ya watu wenye ulemavu nchini Kongo

Sauti 08:44
Mwanamke mwenye ulemavu anaathirka zaidi ya mwanaume mwenye ulemavu, hasa kwenye jamii zenye mifumo dume na kandamizi.
Mwanamke mwenye ulemavu anaathirka zaidi ya mwanaume mwenye ulemavu, hasa kwenye jamii zenye mifumo dume na kandamizi. Getty Images/Blend Images - JGI/Jamie Grill

Juma hili tunaangazia hali na haki ya watu wenye ulemavu kwenye Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Huruma Benoit, kiongozi wa FOHD, shirika linalotetea haki na maendeleo ya watu wenye ulemavu nchini mule anateta nasi.