INDIA-AFRIKA KUSINI-NARENDRA MODI

Narendra Modi ziarani Afrika Kusini

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akizuru baadhi ya nchi za Afrika.
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akizuru baadhi ya nchi za Afrika. MUNIR UZ ZAMAN / AFP

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi kwa siku ya pili leo anaendelea na ziara yake barani Afrika na leo anatarajiwa kuzuru Afrika Kusini.

Matangazo ya kibiashara

Alianza ziara hii hapo Alhamisi hii kwa kuzuru Msumbuji.
Akiwa nchini Afrika Kusini, atakutana na Rais Jacob Zuma na kufanya mazungumzo ya ushirikiano katika nyaja za kibiashara.

Rais wa India atahotubia raia wa India wanaoshi nchini humo lakini pia kumkumbuka mwanaharakati Mahatma Gadhi aliyewahi kuishi nchini Afrika Kusini.

Mwishoni mwa wiki hii atazuru pia nchini Tanzania na Kenya, kbla ya kutamatisha ziara yake barani Afrika.