Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mawakili nchini Kenya wagoma kulaani mauaji ya mwenzao

Sauti 21:07
Mawakili nchini Kenya wakiandamana kupinga mauaji ya mwenzao, Nairobi julai 07 2016
Mawakili nchini Kenya wakiandamana kupinga mauaji ya mwenzao, Nairobi julai 07 2016 Daily Nation

Makala ya Mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii imeangazia mgomo wa Mawakili nchini Kenya kulaani mauaji ya mwenzao Willie Kimano na wengine, huku wakiomba serikali kuhakikisha wahusika wa mauaji hayo wanapatikana, lakini pia maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka mitano ya uhuru wa Sudan Kusini huku kukiwa na mapigano makali kati ya wanajeshi wa serikali na wale waliokuwa waasi, wakati kimataifa tunaangazia mauaji ya watu weusi nchini Marekani.