Habari RFI-Ki

Afrika na maambukizi ya virusi vya Ukimwi

Sauti 10:41
Utepe huu huvaliwa na mtu aliyepima virusi va Ukimwi kuonesha kuwa anajali
Utepe huu huvaliwa na mtu aliyepima virusi va Ukimwi kuonesha kuwa anajali

Katika makala haya utasikia maoni kuhusu sababu za kuendelea kwa maambukizi ya virusi vya ukimwi katika nchi za Afrika licha ya hatua chanya kupigwa kuhusu ugonjwa huo hatari. Karibu