Mjadala wa Wiki

Mkutano wa Umoja wa Afrika nchini Rwanda

Imechapishwa:

Mkutano wa 27 wa Umoja wa Afrika ulimalizika mwanzoni mwa juma hili jijini Kigali nchini Rwanda huku wakishindwa kumpata Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja huo, lakini walijadiliana kuhusu mzozo wa Sudan Kusini na Burundi.Tunajadili hili.

Rais wa Rwanda  Paul Kagame (Kushoto), rais wa Chad Idriss Derby (Katikati) wakionesha pasi zao za Afrika baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Dkt .Nkosazana Dlamini-Zuma (Kulia)
Rais wa Rwanda Paul Kagame (Kushoto), rais wa Chad Idriss Derby (Katikati) wakionesha pasi zao za Afrika baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Dkt .Nkosazana Dlamini-Zuma (Kulia) The Insider
Vipindi vingine