Muziki Ijumaa

Muziki ijumaa na Chikuzee msanii wa Mombasa

Sauti 14:12
Msanii Chikuku Chikuzee (katikati) akiwa na wafadhili wake, akizindua album mpya HORNET RECORDS Mombasa juni 2015
Msanii Chikuku Chikuzee (katikati) akiwa na wafadhili wake, akizindua album mpya HORNET RECORDS Mombasa juni 2015 elkanajacob

Muziki ijumaa juma hili inamkaribisha mwanamziki mashuhuri Chikuku Chikuzee wa mjini Mombasa pwani ya kenya, mwanamuziki aliyebobea katika tasnia hii kwa zaidi ya miaka kumi, ambapo pamoja na kukabiliana na changamoto nyingi alizokabiliana nazo, hata hivyo amefanikiwa kushirikiana na wasanii wengine wa Afrika mashariki.Ungana nami Ali Bilal kusikiliza zaidi.