Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mgororo wa Sudan Kusini kuwa na sura mpya

Imechapishwa:

Makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii imejikita kuangazia mgogoro wa kisiasa unaolikumba taifa changa la Sudan Kusini, wakati huko DRC, vyama vya kisiasa vinavyomuunga mkono rais Joseph Kabila kuwa na mkutano maalum mwishoni mwa mwezi huu, na nchini Burundi mfumuko wa bei za bidhaa mbali mbali kuwaathiri wakaazi wa nchi jirani na wananchi wenyewe wa Burundi.Katika uga wa kimataifa tunaangazia bilionea wa Marekani Donald Trump kuteuliwa kuwa mgombea wa kiti cha urais kwa tiketi ya chama cha Republican. 

Makamu wa pili wa rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga (katikati), akisindikizwa na rais Salva Kiir (kulia) na makamu wa rais Riek Machar (kushoto), Ikulu Julai 8 2016.
Makamu wa pili wa rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga (katikati), akisindikizwa na rais Salva Kiir (kulia) na makamu wa rais Riek Machar (kushoto), Ikulu Julai 8 2016. REUTERS/Stringer
Vipindi vingine