Changu Chako, Chako Changu

Mambo Muruwa Afrika Mashariki na Kati

Sauti 20:35
Milima ya Mkoa wa Kivu ya Kaskazini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Milima ya Mkoa wa Kivu ya Kaskazini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. MONUSCO/Abel Kavanagh

Pata mambo mbali mbali kutoka Bukavu kwenye Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania. Muziki kama kawaida. Makinika nasi na uburudike.