Habari RFI-Ki

Koffi Olomide ahukumiwa miezi 18 jela

Sauti 09:44
Mwanamuziki  wa DRC Koffi Olomidé akiwa Kinshasa,tarehe 16  Agost 2012. (Picha na maktaba))
Mwanamuziki wa DRC Koffi Olomidé akiwa Kinshasa,tarehe 16 Agost 2012. (Picha na maktaba)) JUNIOR KHANNA / AFP

Katika makala haya maoni mbalimbali yametolewa na wasikilizaji baada ya mwanamuziki nyota wa muziki wa Rhumba nchini DRC Koffi Olomide  kuhukumiwa kifungo cha miezi 18 jela kwa kumdhalilisha mmoja wa wanenguaji wake wakiwa nchini Kenya na kisha kufukuzwa nchini humo.