Habari RFI-Ki

Kurudi kwa Etienne Tchisekedi Kinshasa

Imechapishwa:

Habari Rafiki leo inatupia jicho kurudi kwa Etienne Tchisekedi, moja wa viongozi wa upinzani nchini DRC. Tchisekedi alisafiri nchini Ubeligiji kwa ajili ya matibabu na sasa ndio anarudi huku nchi hiyo ikielekea kwenye uchaguzi mkuu na mjadala wa kitaifa ukiwa unaandaliwa na kusimamiwa Umoja wa Afrika. Sikiliza uhabarike.

Wafuasi wa chama cha UDPS inayoongozwa na Etienne Tchisekedi nchini DRC wakimsuburi kwa hamu kiongozi huyo wa upinzani kurudi nchini mule kutoka Ubeligiji alipokuwepo kwa ajili ya matibabu.
Wafuasi wa chama cha UDPS inayoongozwa na Etienne Tchisekedi nchini DRC wakimsuburi kwa hamu kiongozi huyo wa upinzani kurudi nchini mule kutoka Ubeligiji alipokuwepo kwa ajili ya matibabu. RFI/Habibou Bangré
Vipindi vingine
 • Image carrée
  05/06/2023 09:53
 • Image carrée
  02/06/2023 09:30
 • Image carrée
  01/06/2023 09:30
 • Image carrée
  01/06/2023 09:32
 • Image carrée
  30/05/2023 09:29