Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mazungumzo ya kitaifa kuhusu DRC kuahirishwa

Sauti 21:27
Wafuasi wa chama tawala cha PPRD, nchini DRC, wakiwa wamefurika kwenye Makao makuu ya chama  mei 24, 2016.
Wafuasi wa chama tawala cha PPRD, nchini DRC, wakiwa wamefurika kwenye Makao makuu ya chama mei 24, 2016. RFI/Sonia Rolley

Makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri juma hili, imeangazia siasa inayoendelea nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, wakati huu nchi hiyo ikijiandaa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, ambapo wananchi nchini humo wameshuhudia kurejea nyumbani kwa mpinzani mkongwe nchini humo Etienne Tshisekedi, na mikutano ya kisiasa.lakini pia kuteketezwa moto kwa mashule kadhaa nchini Kenya, na azimio mpya la baraza la umoja wa mataifa kuhusu Burundi, wakati kimataifa tumegusia siasa za Marekani.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.