Hatma ya DRC mikononi mwa nani?

Sauti 10:09
Etienne Tshisekedi kiongozi wa upinzani nchini DRC
Etienne Tshisekedi kiongozi wa upinzani nchini DRC RFI/Sonia Rolley

Kiongozi wa upinzani nchini DRC Etienne Tshekedi ametaka uchaguzi mkuu ufanyike mwaka huu matamshi aliyotatoa katika mkutano jana Kinshasa,ambapo amemtaka raisi Kabila kuondoka madarakani ifikapo desemba 20.Kwa upande wa Tume ya uchaguzi CENI wamesema haiwezekani uchaguzi kufanyika mwaka huu kwa sababu daftari la wapiga kura halijafanyiwa marekebisho.Je unaona muda bado ungalipo?Nini hatma ya DRC baada ya ukomo wa utawala wa Kabila?