Matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Zambia kuanza kutolewa

Sauti 21:03
Mgombea wa urais nchini Zambia Hakainde Hichilema akipiga kura pamoja na mwanawe Habwela Hakainde mjini  Lusaka 11 Agosti 2016
Mgombea wa urais nchini Zambia Hakainde Hichilema akipiga kura pamoja na mwanawe Habwela Hakainde mjini Lusaka 11 Agosti 2016 REUTERS/Jean Serge Mandela

Makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri wiki hii, yameangazia uchaguzi mkuu uliofanyika hivi majuzi nchini Zambia, ambapo matokeo yake ya awali yameonyesha upinzani kuongoza, wakati nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC mvutano wa kisisa kuelekea uchaguzi ambao hadi sasa hatima yake iko mashakani, siasa za kenya, Tanzania na Sudan Kusini, pia zimeangaziwa na kampeini za wagombea wa kiti cha urais nchini Marekani.Ungana na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka kusikiliza zaidi.