Habari RFI-Ki

Maandamano ya upinzani nchini DRC

Sauti 10:24
Mmoja wa waandamanaji raia wa DRC walioandamana hivi karibuni kupinga Serikali.
Mmoja wa waandamanaji raia wa DRC walioandamana hivi karibuni kupinga Serikali. DR

Leo tunatupia jicho maandamano ya upinzani nchini DRC kumtaka rais Joseph Kabila kutowania kiti cha urais kwa awamu ya tatu na uchaguzi mkuu kufanyika Mwezi wa Kumi na Moja 2016 kama inavyosema katiba ya nchi hiyo.