Sampling kwenye historia na utamaduni wa muziki

Sauti 20:29
Sampling kwenye muziki
Sampling kwenye muziki

Juma hili tumeongea na moja wa watayarishaji wa muziki nchini Tanzania anayejulikana kwa jina la DH au Double H tukiteta mambo ya sampling kwenye histotria na utamaduni wa muziki barani Afrika na duniani kwa ujumla na burudani ya muziki kama kawaida.